Karibu sehemu peke utakapopata suluhisho la kupunguza uzito, kama unapendelea mfumo wa afya na wa haraka
wakukusaidia kupunguza uzito , berracho wamekutengenezea mpango wa milo wa hadi siku 30 kupitia Meal Shake na Fat Burner zitakazo kusaidia kwenye safari yako ya kupunguza uzito
MPANGO WA MLO WENYE UHAKIKA WAKUPUNGUZA UZITO


JINSI YAKUTUMIA
KIFUNGUA KINYWA
Asubuhi chukua chupa yako ya Meal Shake yenye radha ya vanilla au chocholate, ambayo inavirutubisho sahihi ambavyo mtu anatakiwa apate kwa mlo mmoja.
Weka maji katika chupa yako ya berracho kufata kipimo kilicho wekwa kwenye chupa kisha tingisha na ufurahie kupunguza uzito
Kunywa na fat burner zetu kwa matokeo bora zaidi.

CHAKULA CHA MCHANA AU JIONI
Meal Shake yetu ya Vanilla/chocholate imetengenezwa kwa protini na kalori zinazohitajika, kusaidia mzunguko mzuri wa chakula na kupunguza uzito. Tumia chupa moja mchana au jioni
Kunywa na fat burner zetu kwa matokeo bora zaidi.

Unaweza kupunguza hadi kilo 2-3 kwa wiki moja, endapo utafata mpango wetu wa milo kama ilivyo elekezwa.
CHAKULA CHA JIONI AU MCHANA
Programu yetu inakupa uhuru wakuchagua chakula ukipendacho na kisha kula kama chakula cha machine au Joni kwa kiasi kidogo, na unatakiwa usindikize chakula hicho na kinywaji safi cha fat burner.

PUNGUZA MAFUTA MWILINI
L-carnitine asidi ya amino inayosaidia kubadlisha mafuta kuwa nishati mwilini,kitu ambacho husaidia kupunguza uzito, lakini pia kupunguza maji na misuli.
HUZUIA KUFUNGACHOO
Uwepo wa xylo-oligosaccharide husaidia kuondoa hali ya kuvimbiwa na kupunguza shinikizo la damu na cholesterol.
KUONDOA SUMU
Uwepo wa Alisma, hulisha utumbo na kuondoa sumu ilikuweza kusaidia kupunguza mwili, inavirutubisho ambavyo husafisha na kungarisha ngozi.
HUSAFISHA TUMBO
Uchunguzi wa kifamasia uanathibitisha kuwa, Uwepo wa lotus leaf kwenye Fat Burner husaidia kuondoa sumu tumboni, na mafuta yaliyopo mwilini
KUDHIBITI NJAA
Fat Burner na Meal Shake zetu zinamatokeo mazuuri kwani humpa mtu shibe na kumfanya aridhike mda wote anaokuwa ametumia bidhaa zetu
HUTOA LISHE KAMILI
Bidhaa zetu zina virutubisho vingi vinavyo upa mwili utunzaji unao stahili Chupa yetu ya meal shake in a vitamini zaidi ya 24 na madini ya hitajikayo mwilini
CHOCOLATE & VANILLA
Badilisha milo yako miwili kwa kutumia Chocolate na Vanilla, jiskie umeshiba, ongeza nguvu na upate lishe yako
NIITE MR.BURNER

MAISHA NI RAHISI
Ndio nachoma mafuta mwilini kwako, pia na radha nzuri unaweza ukatembea na mimi popote pale, hahahaha! Maisha ni rahisi sana ukiwa na mimi
